1 Search Results for "Al Shabaab" …

Search our video library for "Al Shabaab"

Kurudisha Mapato ya Al Shabaab

Mwangaza   published by Wendy Williams on Machi 27, 2023

Kukata mapato ya kila mwaka ya al Shabaab yanayokadiriwa kuwa ya dola milioni 100 kutahitaji kurejesha uadilifu wa mashirika ya kifedha, mahakama na kijasusi yaliyoathirika ya Somalia.